Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akikata utepe kuashiria ufunguzi rasmi Kiwanda cha Nguo cha Basra Textile Mills Ltd kilichopo Zanzibar katika shamrashamra za kuelekea Maadhimisho ya miaka 58 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar leo tarehe 11 Januari, 2022.