Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, afungua Kiwanda cha Nguo cha Basra Textile Mills Ltd – Zanzibar

By BASRATEXTILE In Events

11

Jan
2022

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akikata utepe kuashiria ufunguzi rasmi Kiwanda cha Nguo cha Basra Textile Mills Ltd kilichopo Zanzibar katika shamrashamra za kuelekea Maadhimisho ya miaka 58 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar leo tarehe 11 Januari, 2022.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akihutubia Wananchi katika Hafla ya ufunguzi wa Kiwanda cha Nguo cha Basra Textile Mills Ltd kilichopo Zanzibar leo tarehe 11 Januari, 2022 katika shamrashamra za kuelekea Maadhimisho ya miaka 58 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.

PICHA ZAIDI